CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
mkuu
naona unachanganya changanya company names na product brand names
mfano: coca cola company wanna products brands za cocacola, fanta, sprite, sparletta, crest etc
now which is which?
The company takes its name from Nike (Greek Νίκη, pronounced [nǐːkɛː]), the Greek goddess of victory.
Hajakosea hata kidogo company name inaweza kuwa Brand name, ila brand name sio lazima iwe company name. Labda tu niseme kuwa Nike ina maana
Pia Google pia inatokana na neno googl ambayo ni namba 10,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000,*000.
thanks kwa maelezo mazuri, kuan siku nilimshauri kaka mmoja achange jina la kampuni yake, yaani jina gumu kutamka hata mtu uliesoma huwezi kupronounce vizuri etc ye alilidefend saaana eti we hujui tu maana yake jina hili linamaana kubwa saana ni vifupi vya majina ya mtoto wangu, mie mwenyewe mke wangu na mama yangu-aliniacha hoi kwa kicheko! maana brand name pia inatakiwa iangalie na target audience wako ni wakina nani i.e vijana, wazee, wanawake etc..na unatakiwa kulipretest pia kabla halijaenda sokoni.
Ni sawa kabisathanks kwa maelezo mazuri, kuan siku nilimshauri kaka mmoja achange jina la kampuni yake, yaani jina gumu kutamka hata mtu uliesoma huwezi kupronounce vizuri etc ye alilidefend saaana eti we hujui tu maana yake jina hili linamaana kubwa saana ni vifupi vya majina ya mtoto wangu, mie mwenyewe mke wangu na mama yangu-aliniacha hoi kwa kicheko! maana brand name pia inatakiwa iangalie na target audience wako ni wakina nani i.e vijana, wazee, wanawake etc..na unatakiwa kulipretest pia kabla halijaenda sokoni.