Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
Majina yote mliyoyataja kuwa ni cheap, wanajiuza, malaya etc ni majina yenye watu wengi. Hivyo statistics zinawapronounce. Inawezekana kuna Majina uncommon kabisa lakini vituko vyao vikawa zaidi.
Mizengo waongo sana na wanapenda kulia lia hasa wakibanwa kwa kufanya kitu kinyume na utaratibu..wengi wao huwa wanapenda kuaahidi mambo yasiyotekelezeka