Tutawakumbuka Nape, Huyu wa Kinondoni anaependa kumtukana EL anaitwa nani sijui, na yule naibu wa fedha Mwigulu.Eti Kibaki na ile nyingine Obama sijuwi nini na nini... kha! Hivi Charles Keenja wa Jiji aliyebuni ujengwaji wa shule zaidi ktk kila shule hapa Dar na Mwaibula yule wa Sumatra aliyebuni mpango wa masafa maalum ya daladala zote na uwepo wa rangi (mkorogo) mahsusi kwa kila masafa mtawakumbuka lini?
hakika wakuu vituko ndani ya hii nchi kamwe havi ishi.
kabla ya hivi vibao vya mitaa usisahau suala la namba za nyumba ambazo wamebandika vibao hakika kama itakuwa ni kwa mara ya kwanza huta gundua ila kama utakuwa ni mkazi wa eneo husika utagundua kitu namba hizo zime kuwa zinajirudia sana kutoka mtaa m1 na mtaa mwingine.
kwa kuwa mm nimkazi wa mwenge nitalizungumzia hili la mwenge pekee.
namba zile za zamani zilikuwa ni nzuri nyumba namba 70 huwezi ipata popote pale lakini leo hii nyumba namba 37 mtaa m1 unakwenda kuipata namba hiyo hiyo mtaa mwingine hapo ndio panapo nichanganya.
ukija kwenye suala la mitaa hivi vibao nivichekesho sana mfano ukiwa unatoka mwenge stend njia ya zamani kama unakuja tra mtaa wa kwanza sijajua jina lake bado mtaa wa pili unaitwa kimbiji st mtaa wa kwanza unaitwa ludewa mtaa wa pili unaitwa kipepeo.
sasa cha ajabu ambacho kinanichanganya ni kuwa hayo majina kwa hapa mwenge yamejirudia pia njia ukifika njia ya kwenda kanisa katoliki mwenge kama unaingia getin utakutana na vibao viwili kimoja kinajina la ludewa na kingine jina la kipepeo sasa hapo mm ndio ninapo shangaa why majina yajirudie??
huku mtaa wa msikitini kuna majina haya na kule kanisani pia kuna majina hayo.
harafu majina hayo mbona hayaendani kabisa na maeneo husika??.
kama viongozi majina yao yanatumika kwenye baadhi ya barabara hapa nchini why usiwe kwa mitaa yetu wazee wetu majina yao yakatumika??
mfano MNUBI STREET.MGARIKA STREET.TAMAL ROD.NDENYA ST.
SANGA ROD.
MANGO MANGO ROD HOME GYM STREET or HOME GYM ROD KUBWA LAO ST.KINYONGA ROD.MAGAREJI ST.TRA ROD
natoa mfano huu kwa kuwa ndio majina yatumikayo mpaka leo hii ukiwa unamuelekeza mtu lazima utataja hayo majina then wengi wanakuelewa kwa na why waliotunga hayo majina hawakuwashirikisha hata wenyeji kidogo??.
Hivi karibuni nimekuwa nikiona vibao vyenye majina ya mitaa hapa dar, majina yasiyoendana kabisa na mahali kwenyewe.
Eti utakuta Mtaa wa Ludewa katikati ya mwenge hapa dar.
Hivi ni nani akikaa chini akànza kufunga haya majina. Why hawakukaa na wadau wa hiyo mitaa ili wapate majina muafaka kabisa.
Eti mtaa wa kipepeo, Mara mtaa wa Nyati utadhani kuna Mbuga. Kwanza wanyama wenyewe washawamaliza.
Mtaa wangu unaitwa iringa hata sijui kwanini.......Je mtaani kwenu kuna jina gani. Maana nimeona makumbusho kuna majina ya nchi tu . mtaa wa Ghana Mara siera Leon basi tu ilimradi
LEGEhakika wakuu vituko ndani ya hii nchi kamwe havi ishi.