Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Angalia vizuri Dar iko no 12
dar sijaiona,hii list imechakachuliwa.
12 je,.
ya elekea umesomea mambo ya mazingira dada, kipimo katika hii rank ya sanitation ni Mercer Health and Sanitation Index Score marks zake zinaoneshwa kila kwenye picha ya jiji. labda utufafanulie hii index inapatikana vipiClassifications zingine zina propaganda mbaya ya kudhalilishana.
Sijui nani aliandika, na kwakutumia criteria gani ila miji mingine hapo ni organic waste, with few weeks of sustained efforts vinaweza kuisha. Kuna miji mingine ya Ulaya na America zina organic waste na non biodegradable pia. Isitoshe, new york rat population has been estimated to 6/1 human. Kumbuka New York ina wakaaji 8,844,000. Pata picha hapo. Their waste management has been a problem and remains unsolved as we speak (source), hata baada ya almashahuri ya mji kuendesha mradi wa waste management kupitia public-private partnership.
Kumbe tuko wengi tunao ona uchafu wa hili jiji kasoro rais wetu. Ninamshangaa sana rais wetu, kila kukicha yuko nchi za watu kutalii hivi hajisikii haibu anaporudi nchini toka pale uwanja wa ndege usiokuwa na air condition mpaka white house? Yaani hili jiji linanuka sijapata ona.
80% ni majiji ya Africa............jamani lazima tufungue shule ya kufundishana usafi sasa