Majibu ya usaili uhamiaji lini ?

Majibu ya usaili uhamiaji lini ?

itabila

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Wanandugu majibu ya vijana waliofanya usaili wa uhamiaji tarehe 10 lini
 
hata makoplo na constables nao wiki hii yatakua nje,wanaenda the same depo
 
Depo nasikia hua ni cpc kiwira magereza na jkt ruvu inategemea na idadi ya watu
 
nadhani muda wowote kuanzia leo majibu yatatoka muwe na subra kwani baada yakutoka inawezekana mkaondoka pamoja na wakaguzi wasaidizi ktk shule ya polisi Moshi....Ukiona kmya jua neema inakarbia
 
nadhani muda wowote kuanzia leo majibu yatatoka muwe na subra kwani baada yakutoka inawezekana mkaondoka pamoja na wakaguzi wasairdizi ktk shule ya polisi Moshi....Ukiona kmya jua neema inakarbia
angalia moha.go.tz tayari
 
majibu tayari, unatakiwa kureport tarehe 01 Dec 14 makao makuu ya uhamiaj kwa maelekezo
 
Back
Top Bottom