Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mi najua kinachowauma wamarekani na watawala wa ULAYA kote ni Ukweli kuwa ISLAM is the FASTEST growing religion in WESTERN countries sasa hapa wanaishia kujifaragua kutukana Uislam japo haisadii
Mi najua kinachowauma wamarekani na watawala wa ULAYA kote ni Ukweli kuwa ISLAM is the FASTEST growing religion in WESTERN countries sasa hapa wanaishia kujifaragua kutukana Uislam japo haisadii
............wewe unaefikiria mara mbili ndo maana ukaletewa mzaha wa 'picha' kisha ukaambiwa: huyu ndo mungu wako, nawe ukaitikia, ameeen !!
Uislaam unapinga dhulma na unatetea haki, unapinga riba na unatetea biashara halali, unatoza zaka kwa matajiri na unalinda maskini. inafundisha waumini uadilifu na kutenda haki, Waislaam hawatiwi hofu na mtu, wana hofu ya Mungu !
Mabepari wanaogopa sana hilo
mkuu kiranga aliwahi sema sana kuhusu hii gross oversimplificatio generalization,yaani likichaa tu la huko us limebuni njia yake ya kupata umaarufu+utajiri wa chap,na nyie munamsapoti kwa kuongeza hamu ya watu kuipata filamu hiyo,kama mimi ukinichorea picha ya yesu mwenye mapembe ntakuambia tu honestly kuwa huyo ni yesu wako,,yesu wangu hana mapembe,naamini utajiona mpumbavu na utaondoka na upuzi wako!!hicho munachokifanya hapa sasa ndiyo lengo kuu la mtengenezaji/mtayarishaji wa filamu hiyo,munampa umaarufu usiomstahili,mimi niliwahi kupata picha fulani ya anayedaiwa kuwa yesu eti akiwa na mkewe maria magdalene,niliitazama na kuitupa pembeni kwa kuwa hainihusu,kwa kuwa nafahamu wazi kuwa yesu wangu hajawahi kuoa!!!pamoja na picha hizo kusambazwa sehemu nyingi tu duniani hazikuweza kupata wanunuzi hivyo zilipotelea mbali,tumieni vichwa vyenu vyema,kwa hisani ya jumuiya ya waislamu wenye akili duniani.
Mtu mwenye hofu ya Mungu anatekeleza matakwa ya mwenyezi Mungu,
Mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kuua watu waliomkashifu Mungu au mtume yeye HUWAOMBEA !!
Mtu mwenye hofu ya Mungu hana kauli za kudharau watu kuita watu makafir, waabudu picha na kujiona yeye na dini yake ni bora
Mfiche sana Mungu moyoni mwako ili sisi tukikutafuta wewe tumuone kwanza Mungu wako kabla hatujakupata wewe