Majibu ya mkopo ni vipi?

CONTAWA

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Wanafunzi wanataka kujua majibu ya mkopo kama wewe ni muhanga kama mimi tukutane hapa!
 
Wanafunzi wanataka kujua majibu ya mkopo kama wewe ni muhanga kama mimi tukutane hapa!

hawa bodi siwaelewi kabisa tarehe zao za kutoa majibu zimepita.nahisi mambo yakisias a yanahusika yatatoka after 25 october.
 
watoe mapema, wasitoe mapema kichinjio kitafanya kazi yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…