Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,140
- 2,499
1. Kwanini unadhani wewe ni mtu sahihi kupata hii kazi na si wengine?
2. utaleta kitu gani kipya katka taasisi yetu.. Au utaisaidia nini taasisi yetu?
3. unadhani ni changamoto gani utakutana nazo hapo baadaye tukikuajiri katika nafasi uliyoomba?
4. Ni nini udhaifu wako?
NAWASILISHA