Majibu ya Kuchekesha: Mlima Mrefu Afrika

Jibu sahihi ni jwamba ukiwa Iringa huwez kuuona mt Kilimanjaro kwa sababu wapimaji hawakuupima kutoka kwenye Base but kutoka kwenye usawa wa bahari. Hivyo kama utaenda kuupima mt Kilimanjaro kutoka kwenye Base unaeza uona ni mfupi kuliko hata Uluguru
 
Mmh very subtle, unfathomable!
 
Wabongo sio wabunifu
Watu wa kuigaiga tu
Hichi kipindi cha kuuliza maswali ya hovyohovyo wameiga kwa waghana
 
Hebu nenda na katika ile shule ya Vipanga Udsm nao tuwaone wakibabaika
 
Back
Top Bottom