Mkuu kwa haya majibu yako ni lazima utakuwa umetoa ufahamu wako ukautia uvunguni kabla ya kuchangia, naamini una uelewa zaidi ya huu uliouonyesha hapa......najua CCM munatafuta matawi ya kushika ila mengine ni makavu, tazameni yasije kuwadondosha vibaya.