Masurufu wanayopokea Edward Lowassa Na Frederick Sumaye Sio hisani ya CCM Yapo Kikatiba.

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Kuna mtanzania nadhani ndio wale wale kina Bashite Eti anashangaa Makamanda Lowassa Na Sumaye kupokea Masurufu yao ya kustaafu Uwaziri Mkuu.Nimeamini kuwa CCM kumbe kina Bashite wamejaa sana wanadhani CCM ndio inaamua kuwalipa hao Makamanda Masurufu yao.Someni Katiba.
 
Kale kajamaa kana chuki binafsi yani mpaka leo El.na sumaye bado wanawasumbua si walisema makapi kulikoni?
 
Ndo maana Kiumbe kwenye 'akili" nzuri.....hawezi ishabikia CCM.....kwani, imewafanya watanzania wengi kuwa kama "misukule"
 
Back
Top Bottom