brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
swali, "Unawezakua na dalili za HIV/AIDS na kwenye vipimo vya HIV 1/2. Vikaonesha negative. Apo inakuaje members wenzangu ebu mnisaidie!!!??
Like, 1,maumivu ya joints na misuliUtoto raha unauliza tuu hata ujinga bila kuwa na aibu
Hebu ziseme hizo dalili tuzione
Like, 1,maumivu ya joints na misuli
2,maumivu ya koo,kichwa,tumbo.
3,mafua na
4,kuvimba tezi nyuma ya kisogo

nimecheka kwa sauti alafu watu wananishangaa
Utoto raha unauliza tuu hata ujinga bila kuwa na aibu
Hebu ziseme hizo dalili tuzione
Magonjwa kama yapi ambayo yanadalili izo!!Kuna magonjwa mengi sana yanaingia hapo
Magonjwa kama yapi ambayo yanadalili izo!!Kuna magonjwa mengi sana yanaingia hapo
Kipi sasa kinakushangaza, 🖕🖕🖕nimecheka kwa sauti alafu watu wananishangaa
Magonjwa kam yapKuna magonjwa mengi sana yanaingia hapo
Uko xawa jamaa yangu, ntajalb kufanya checkup nijue nn tatzoYaani watu mnalitafuta hili gonjwa Kwa nguvu, vipimo vinaonesha huna,bado unakomaa duh, nenda hospital for checkup zaidi, huenda ni malaria tu,
Sawa jamaa,ila jamaa ni ndugu au jamaa Mkaka, Mimi ni Mdada (mbibi)Uko xawa jamaa yangu, ntajalb kufanya checkup nijue nn tatzo
Oooooooh xamahan ckujuaSawa jamaa,ila jamaa ni ndugu au jamaa Mkaka, Mimi ni Mdada (mbibi)
Usijali kabisa braveOooooooh xamahan ckujua
Unapatkan wap!!!Usijali kabisa brave
Unataka Nikusindikize hospital ?, nipo Njombe vijijini karibuuUnapatkan wap!!!

Mi nmeulza 2, worry outUnataka Nikusindikize hospital ?, nipo Njombe vijijini karibuu![]()
OK, Karibu NjombeMi nmeulza 2, worry out