Majibu NACTE yanatoka lini?

Majibu NACTE yanatoka lini?

Utajulishwa kwenye profile yako uliyotumia kuapply ila kuchaguliwa hapo haitawezekana
 
Samahan..kuna issue ya AVN Kwa wale wenye diploma.ila ukiomba unaambiwa nacte hawana matokeo yako.ukijaribu kuwasiliana na chuo hawatoi ushirikiano...ni utaratibu gani unaweza kutumia labda mtu akapata msaada ?
 
Nakumbuka 2013 niliapply clinical medicine, nikapata MTU wa mwisho alikuwa na 2 ya 18... Wakati mwingine kufikia vigezo sio lazima uchaguliwe wanaangalia na ushindani......
 
Nakumbuka 2013 niliapply clinical medicine, nikapata MTU wa mwisho alikuwa na 2 ya 18... Wakati mwingine kufikia vigezo sio lazima uchaguliwe wanaangalia na ushindani......[/QUOTE
sawa mkuu... sasa hapo kwenye chemistry pananipa shaka hapo
 
Hapo huwezi pata nafasi kwa ufaulu wako.. tafta vyuo vingne mapema, kama ulichagua kibaha kama first choice fanya kuedit mapema hicho chuo kiwe hata fourth choice huko...
 
Nakumbuka 2013 niliapply clinical medicine, nikapata MTU wa mwisho alikuwa na 2 ya 18... Wakati mwingine kufikia vigezo sio lazima uchaguliwe wanaangalia na ushindani......
Chuo gn mkuu
 
Hapo huwezi pata nafasi kwa ufaulu wako.. tafta vyuo vingne mapema, kama ulichagua kibaha kama first choice fanya kuedit mapema hicho chuo kiwe hata fourth choice huko...
sawaa
 
Back
Top Bottom