Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Wewe je unayo hiyo degree? Tuanzie hapo
 
Hiyo ilikuwa miaka hiyo nchi ilipokuwa haina wasomi.Nyerere aliweka Hadi wakuu wa majeshi form four failure .

Kilichotokea nchi iliendeshwa hovyo hovyo Hadi ikafilisika ikawa hata hela za kigeni haina

Viwanda vikafa ,mashirika ya umma yakafa shauri ya uendeshaji mbovu wa watu wasiosoma Kama kawawa waliokula wamejazana nafasi za juu serikalini na kwenye chama na mashirika ya umma Lakini vichwani weupe

Mark my words chadema inakwenda kuwafia mikononi Mbowe form six failure division zero na huyu form six katibu mkuu wake Mnyika.

Chadema ili survive na kuwa juu kwa kuwa makatibu wakuu walikuwa na degrees walikuwa na upeo mkubwa Kama watendaji wakuu wa Chama .Hivyo pamoja na mwenyekiti Mbowe kuwa division zero walimbeba aonekane kipanga.

Ukatibu mkuu ilitakiwa wampe msomi yeyote awe Profesa baregu au yule mpiga mayowe hewa Dr Rwaitama au angeshika Tundu Lisu au yeyote msomi
 

..wako watu ambao so talented ktk fani fulani hawahitaji degree.

..Mnyika is that kind of a person.

..hata Mbowe pamoja na kuishia form 6 ana uwezo kisiasa na kiuongozi kuliko wanasiasa wenye shahada hata za uzamifu.

..Mnyika amekuwa Naibu Katibu Mkuu wakati wa Dr.Mashinji, na alikuwa akikaimu kwa muda mrefu wakati wa Dr.Slaa ambaye alikuwa akipenda kuwa field.

..Sasa huwezi kusema mtu kama huyo hafai kuwa Katibu Mkuu wa chama.

..Ukiacha hayo, msikilize John Mnyika anapojenga hoja zake, halafu umlinganishe na wasomi walioko ccm. Kwa maoni yangu anawafunika wana-ccm wengi.
 
Kwa hiyo Chadema ingeshika nchi tungepewa waziri mnyika form six? Uwiiiii

..ndugu yangu mbona William Lukuvi pamoja na elimu yake ndogo anaongoza kwa weledi na busara kuliko wasomi kama Dr.Magufuli, Dr.Kabudi, na Dr.Mwakyembe?
 
..ndugu yangu mbona William Lukuvi pamoja na elimu yake ndogo anaongoza kwa weledi na busara kuliko wasomi kama Dr.Magufuli, Dr.Kabudi, na Dr.Mwakyembe?
Sio kweli Lukuvi kasomea Yugoslavia Ana digriii kule hawaiti digriii wanaita diplom enzi za usoshalusti .Agustino Lyatonga Mrema pia alikuwa na diploma toka nchi za kikomunisti digriii zao walikuwa hawaiti digriu digriii walikuwa wakiita diplom abdamgalia spelling sijaandika diploma nimeandika diplom
Kuna digriii ingine Lukuvi anayo kaificha kwa sababu maalumu
 

..hapana.

..Lukuvi ni darasa la 7.

..baadae akasoma-soma private candidate nadhani alikomea masomo ya kidato cha sita.
 

Kusini huwa hiyo inaitwa Kinaume!
 
Nangojea Nape aje na Elimu ataje alicho achieve zaidi ya Mnyika .Kama si fadhila leo angalikuwa kinyesi maana hata ajira haijui huyu .
Amshukuru sana Philip Mangulla kumpeleka India ama sivyo angekuwa kinyesi kama wasemavyo wataalam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…