????Habari wakuu,
Ninaomba mwongozo hapa:
Hili swala la kufanya oral interview then majibu hayatoki ( kuchukuliwa au la) then zinatangazwa nafasi mpya kada hio hio limekaaje hapo. Ni kwamba vigezo vya nafasi hio havijafikiwa wasailiwa wote?
Na vipi kuhusu kuwekwa kwenye database (kanzidata).
Inshu hapo sio kada hiyohiyo kwenye taasisi hiohio? Na je nafasi zilizotangazwa ni Re-advertiseHabari wakuu,
Ninaomba mwongozo hapa:
Hili swala la kufanya oral interview then majibu hayatoki ( kuchukuliwa au la) then zinatangazwa nafasi mpya kada hio hio limekaaje hapo. Ni kwamba vigezo vya nafasi hio havijafikiwa wasailiwa wote?
Na vipi kuhusu kuwekwa kwenye database (kanzidata).
Vp kuhusu matokeo wanatoa? Au ukiona kimya inabidi ujiongezeHapo ni kwamba wasailiwa waliongia kwenye oral waliferi (walipata chini ya 50 marks).
Kuwekwa kwenye kazi data mpaka uwe umefauru kwa zaidi ya 50 oral na kukosa nafasi wakati huo.
Ahsante kwa muongozoHapo ni kwamba wasailiwa waliongia kwenye oral waliferi (walipata chini ya 50 marks).
Kuwekwa kwenye kazi data mpaka uwe umefauru kwa zaidi ya 50 oral na kukosa nafasi wakati huo.
Kama sio Re-advertise watawaita mkuuNi taasisi hio hio, ila nafasi sio re-advertise
Matokeo ya oral huwa hayatolewi. Ila kama ulifanya vizuri usiacha kupitia sehemu ya kuitwa kazini maana unaweza chukuliwa toka kwenye kanzi data yao ambako hua na uhai wa miezi sita toka kuwekwa huko.Vp kuhusu matokeo wanatoa? Au ukiona kimya inabidi ujiongeze
Habari wakuu,