Kiroba kitamfanya aongee kidhungu!sikiliza wewe ,ukitaka mwanao aongee haraka njia bora na nyepesi kwanza ilitakiwa uongee nae lugha fasaha since day one (hakuelewi lakini anakusikia) baada ya hapo uwe unawasiliana nae kwa ufasaha epuka kumuiga anapoongea vibaya usimwambie maneno kama 'oto iyo= moto huo' 'taka mma' taka jojoa na kadhalika.
wazazi wengi hufanya makosa hapo-kabinti kangu by the time she was few months shy to 2yrs she could almost speak any word be it swahili or english ,she can pronounce them!
In short ongea na mwanao kama unaongea na mtu mzima mwenzako!
jee, ni kweli maji ya nazi akinyweshwa mtoto ambaye anajifunza kuongea huweza kuongea kwa haraka na ufasaha. Sio maji ya dafu ni nazi.
Kuna ukweli ktk hili wana jamvi nataka nimpe mwanangu anamwaka mmoja sasa naoma anachelewa kuongea.
Konyagi nadhani.....hahahahaah! Hii ndio JF.Kiroba cha nini?
ni kweli. changanya na kiroba 1.
hahaha duhNadhani cha kilo hamsini za bange :bange:
MashaAllah baba mtoto; Usiwe na haraka kwa mwanao, kila kitu kwa wakati na rika lake !! Time ya kuongea itafika, time ya kujitetea,kujiAmini itafika kila anapokua. "kwa kuwa hakuna PROOF ya maji Nazi" Nahofia isije develope symptoms zisizo tabirika !! kwani ni infant bado.Ndio unifahamishe hizo za Masaki
MashaAllah baba mtoto; Usiwe na haraka kwa mwanao, kila kitu kwa wakati na rika lake !! Time ya kuongea itafika, time ya kujitetea,kujiAmini itafika kila anapokua. "kwa kuwa hakuna PROOF ya maji Nazi" Nahofia isije develope symptoms zisizo tabirika !! kwani ni infant bado.
Kwa mukhtasari nyumbani pawepo na watoto wakuzungumza (kelele/mchanganyiko) msijitenge peke yenu, mingol with relatives/pple.
Blessings to U & family.