Maji safi ya Uhai Mazuri sana

Yanaondoa kiu haraka sana.cc Elli
 
Last edited by a moderator:


Halafu chupa yake ina mwonekano maridhawa kabisa!!!
 
Ladha yake itakua na chumvi chumvi hivi
 
pia yana asilimia fulani ya protini,yaani buurudani tupu...
 
Maji mapya ya uhai yana chupa nzuri mfano wa mwanamke nyonga.....
 
Haha imebidi niirudie kuangalia upya picha
 
Lakini inasemekana bakhresa anachanganya vitu vingi sana kwenye maji yake.ndio maana radha yake siku hizi sio kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…