Maji safi na umeme bado ni unga unga mwana unaeza ukadhani nchi imetoka kwa wakoloni mwaka jana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,504
Yani maji safi tuu na umeme bado ni unga unga mwana unaeza ukadhani nchi imetoka kwa wakoloni mwaka jana kumbe ni miaka karibia 60 iliopita.

Itahitaji miaka mingine 60 ili maji safi na salama na umeme iwe huduma ya uhakika chini ya ccm.

Unajua hata sisi UVCCM tunachoka kuwatetea nyie maboss zetu, japokua mnatupa buku7 kwa siku tunakidhi mahitaji lakini kuna mambo yanaudhi ukifikiria kwa akili timamu bila uchawa.

Hapa dar tuu watu wanakunywa maji ya visima vya kuchimba na jembe, yani maji ambayo ulaya na marekani hata ng'ombe hawapewi lakini bongo hapa raia ndio wanayafakamia.
 
Maendeleo nchi hii wanayaona watu wa chama kile tu
 
Hawajuwi matatizo ya raia KABISA KABISA KABISA!
Wana ma simtank Lita 10k, Wana ma VX hawasikii makorongo, shule za watoto wao binafsi za bei mbaya, maposho na mishahara yao ni ya kutisha, wanawasha ving'ora wasipange foleni, haki zao wanapigiana simu shida zimeisha, kutibiwa kwao na familia nje ya nchi!
Sasa kweli atakutumikia vipi huyo kiongozi?!
Na bado tunawachaguwa?!
🤬🤬🤬🤬🤬
 
Mkoloni aliacha kila kitu kuanzia maji, umeme nk
Wahenga tunalijua hilo

Hata Treni zilikuwa nzuri sana miaka ya 60 na 70 hadi early 80s

Sisi ndio tumeharibu kila kitu na Nyerere ndio chanzo kwa kuwasaidia kuwakomboa wenzetu kwa hela zote alizoachiwa na mkoloni

Eti ukombozi kutoka kwa wakoloni.
Bollocks
Leo Waafrika hao hao ukienda kwao wanakuuwa
Hela zikaisha na umasikini ukaanza
Halafu mnauza na akiba za dhahabu
 
Hawachaguliwi wanajichagua
 
Kweli bora mkoloni angechelewa tu kuondoka
 
Yani maji safi tuu na umeme bado ni unga unga mwana unaeza ukadhani nchi imetoka kwa wakoloni mwaka jana kumbe ni miaka karibia 60 iliopita.

Itahitaji miaka mingine 60 ili maji safi na salama na umeme iwe huduma ya uhakika chini ya ccm.

Unajua hata sisi UVCCM tunachoka kuwatetea nyie maboss zetu, japokua mnatupa buku7 kwa siku tunakidhi mahitaji lakini kuna mambo yanaudhi ukifikiria kwa akili timamu bila uchawa.

Hapa dar tuu watu wanakunywa maji ya visima vya kuchimba na jembe, yani maji ambayo ulaya na marekani hata ng'ombe hawapewi lakini bongo hapa raia ndio wanayafakamia.
na bado kuna majibwa yanawafagilia fiisiiemu kwa maujinga ujinga haya, imagine huko mama yao anakotembeza bakuli kuuza nchi wao hawana maji tiririka ni maji ya bahari tena ya chumvi lakini hawana shida ya maji wanayabadilisha yanakuwa masafi kwa kunywa na matumizi yote hadi kumwagilia, ni aibu sana kuwa na maviongozi mzigo, viongozi ma taito sio viongoziiiiii
 
Back
Top Bottom