India kuna gepu kubwa sana kati ya wenye nacho na maskini.
Tena ukimkuta maskini wa ndia ni maskini kweli kweli mara 100 ya wa huku kwetu. Na sehemu kubwa ya india hasa upande wa kusini mwa nchi kuna kila aina ya shida mfano, uchafu uliokidhiri, joto kali, ukame wa kutisha, ubakaji iliokidhiri, magonjwa, ushirikina ,nk.
Cha kushangaza wakija huku kwetu wanajifanya matawi na waswahili wana wanyenyekekea kweli kweli.