Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 127
- 353
Habari Madam President, sisi ni Wakazi wa Tanga Mjini, Barabara ya 05 Ngamiani, Mtaa wa Makoko tatizo letu kubwa ni hiyo Majestic Bar ilikuwa ni mali ya CCM lakini imekodishwa na Joseph inasikitisha na ni kero kubwa ina fujo sana hadi Usiku wa manane.
Naomba msaada kwenu tuna recordings zote za siku mbalimbali za watu kulewa hadi saa Tisa usiku na kufanya fujo mtaa Mzima Leo hii unapata tabu kila tunapoenda mliki anatoa rushwa na hatusikilizwi.
Tunaomba sana sisi ni wapiga kura wako mama tusaidie.
Asante