N Nsibwene JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 235 Reaction score 167 Jul 6, 2023 #1 Kila rais anapokuja madarakani anakuja na wizara zake anazoona zinamfaa kuendesha nchi. Je, majengo yanayojengwa huko Mtumba Dodoma itakuwaje? Sasa inabidi liongezwe jengo lingine? BUNGE LIUNDE SHERIA YA SERIKALI IWE NA WIZARA NGAPI.
Kila rais anapokuja madarakani anakuja na wizara zake anazoona zinamfaa kuendesha nchi. Je, majengo yanayojengwa huko Mtumba Dodoma itakuwaje? Sasa inabidi liongezwe jengo lingine? BUNGE LIUNDE SHERIA YA SERIKALI IWE NA WIZARA NGAPI.