Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,336
- 28,626
Waungwana nimepita ktk njia hii ya mandela kutokana na ukubwa wa foleni nikaona nichapuke kwa kufuata mkumbo wa madala dala,ghafla hamadi nikakutana na majengo ya ghorofa 2 yaliyokaa ktk kipindi kirefu bila ya kumaliziwa! nikatafakari kwa nini labda chama au serikali isiyakamilishe kuliko kuyaacha yakakaliwa na majambazi na hatimaye tukapata shule au hospitali au hata wizara moja wapo kuhamia pale?<tafakari ya wikiendi>