SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 5, 2015 #1 Maofisini, majaribu hayana budi kuja... lakini ole wake yeye aletaye majaribu...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,658 Jan 5, 2015 #2 Daah,sasa hapo mkono wa kulia ulitakiwa uperuzi na kudadisi Ili uweze jua Kama bwawa au kisima....
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 838 Reaction score 628 Jan 5, 2015 #3 Fahari ya macho haifilisi duka, wa supu ya pweza wataishia kipiga puchi!!!
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 5, 2015 #4 Labda ndio style iliyomuweka ofisini,"INTAVUA"
WANtEd86 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2014 Posts 573 Reaction score 325 Jan 5, 2015 #5 Mabinti mlio olewa kuna mdau alileta uzi hapa faida za morning glory!!kama unamnyima mmeo jua kwa mazingira kama haya ofisini kuchepuka ni lazima!!
Mabinti mlio olewa kuna mdau alileta uzi hapa faida za morning glory!!kama unamnyima mmeo jua kwa mazingira kama haya ofisini kuchepuka ni lazima!!
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 6, 2015 Thread starter #7 BRO LEE said: Fahari ya macho haifilisi duka, wa supu ya pweza wataishia kipiga puchi!!! Click to expand... Haya hayaishjj kuona tu huenda mbali zaidi... ndoa kibao zimesambaratika kwa mtindo huu...
BRO LEE said: Fahari ya macho haifilisi duka, wa supu ya pweza wataishia kipiga puchi!!! Click to expand... Haya hayaishjj kuona tu huenda mbali zaidi... ndoa kibao zimesambaratika kwa mtindo huu...
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 6, 2015 Thread starter #8 WANtEd86 said: Mabinti mlio olewa kuna mdau alileta uzi hapa faida za morning glory!!kama unamnyima mmeo jua kwa mazingira kama haya ofisini kuchepuka ni lazima!! Click to expand... Mkuu unashauri mabinti wai"force" morning glory kwa usalama wao, hata kama jamaa hali"mind"...
WANtEd86 said: Mabinti mlio olewa kuna mdau alileta uzi hapa faida za morning glory!!kama unamnyima mmeo jua kwa mazingira kama haya ofisini kuchepuka ni lazima!! Click to expand... Mkuu unashauri mabinti wai"force" morning glory kwa usalama wao, hata kama jamaa hali"mind"...