Watu gani hao fafanua banaUmbali wa kilomita 2000 au kilomita 800?
Umbali ni 'distance' ambayo kwa mujibu wa taarifa ni kilomita 800. Hiyo 2000 sio umbali bali ni kimo au urefu (height/apogee).
By the way, hizo picha za 'dunia' zinaweza kuleta mgogoro kidogo na watu fulani hivi!
Ziangalie kwa makini hizo picha zinazoonesha muonekano wa dunia utawajua tu!Watu gani hao fafanua bana
Watu wanaopinga hiyo shape ya dunia.Watu gani hao fafanua bana
Na yeye anatengeneza kwaajili ya watakaomfata kwake......hana tabia za mabepari kufatafata watu kwenye nchi zaoHana jipya USA alishamwambia Kama unaweza rusha hata jiwe kwenye maslahi yoyote ya USA alafu ndo utajua kwanini maharage mboga au futari[emoji3166]
Ajabu ni kwamba Kim yuko kwake anatengeneza vyombo vya kuilinda nchi yake na raia wake, lakini US analalama na kuomba wazungumze aachane na hayo makombora. Wakati huo huo US anayo makombora hayoHana jipya USA alishamwambia Kama unaweza rusha hata jiwe kwenye maslahi yoyote ya USA alafu ndo utajua kwanini maharage mboga au futari[emoji3166]
US zana anazo lakn hatak wenzake wawenazo ili yy abakie kuwa super power.Ajabu ni kwamba Kim yuko kwake anatengeneza vyombo vya kuilinda nchi yake na raia wake, lakini US analalama na kuomba wazungumze aachane na hayo makombora. Wakati huo huo US anayo makombora hayo
U.S. worried North Korea could return to nuclear and ICBM tests, urges dialogue
The United States is concerned North Korea's escalating missile tests could be precursors to resumed tests of nuclear weapons and intercontinental ballistic missiles, a senior U.S. official said on Sunday, while urging Pyongyang to join direct talks with no preconditions.www.reuters.com
Anayetaka North Korea iachane na makombora si US pekee bali ni nchi takribani zote za UNSC zikiwemo China na Urusi. Pitia maazimio yote ya UNSC kuhusu North Korea na makombora yake!Ajabu ni kwamba Kim yuko kwake anatengeneza vyombo vya kuilinda nchi yake na raia wake, lakini US analalama na kuomba wazungumze aachane na hayo makombora. Wakati huo huo US anayo makombora hayo
U.S. worried North Korea could return to nuclear and ICBM tests, urges dialogue
The United States is concerned North Korea's escalating missile tests could be precursors to resumed tests of nuclear weapons and intercontinental ballistic missiles, a senior U.S. official said on Sunday, while urging Pyongyang to join direct talks with no preconditions.www.reuters.com
Niwekee hapa link ya habari yoyote inayoelezea China kama China au Russia kama Russia inaitaka North Korea kuachana na silaha za nyuklia.Anayetaka North Korea iachane na makombora si US pekee bali ni nchi takribani zote za UNSC zikiwemo China na Urusi. Pitia maazimio yote ya UNSC kuhusu North Korea na makombora yake!
Wanaobweka kila wakati wanajulikanaAnayetaka North Korea iachane na makombora si US pekee bali ni nchi takribani zote za UNSC zikiwemo China na Urusi. Pitia maazimio yote ya UNSC kuhusu North Korea na makombora yake!
Ukitaka kufahamu kuhusu misimamo ya China na Urusi kuhusu silaha za nyuklia za North Korea, fuatilia majadiliano na maazimio mbalimbali ya kimataifa kuhusiana na nchi hiyo. Usiishie tu kusikiliza kauli za kisiasa za kwenye media.Niwekee hapa link ya habari yoyote inayoelezea China kama China au Russia kama Russia inaitaka North Korea kuachana na silaha za nyuklia...
Kuna msemo unasema: Actions speak louder than words!Wanaobweka kila wakati wanajulikana
Usilete story za kale (zaidi ya muongo 'decade' muongo mmoja umepia) kwenye vikao vya umoja wa mataifa, nimekueleza lete link za habari toka popote ujuapo ambapo China kama China, Russia kama Russia walaani au kubweka (kama afanyavyo Marekani na vibaraka wake) mpango wa silaha za nyuklia wa North KoreaUkitaka kufahamu kuhusu misimamo ya China na Urusi kuhusu silaha za nyuklia za North Korea, fuatilia majadiliano na maazimio mbalimbali ya kimataifa kuhusiana na nchi hiyo. Usiishie tu kusikiliza kauli za kisiasa za kwenye media...
Umeomba link, umepewa link. Nenda kwanza kasome!Usilete story za kale (zaidi ya muongo 'decade' muongo mmoja umepia) kwenye vikao vya umoja wa mataifa, nimekueleza lete link za habari toka popote ujuapo ambapo China kama China, Russia kama Russia walaani au kubweka (kama afanyavyo Marekani na vibaraka wake) mpango wa silaha za nyuklia wa North Korea