Mkondakaiye JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 838 Reaction score 174 Aug 25, 2013 #21 Revocatus Kashaga said: hakuna mshabiki wa simba anayeweza kuongea pumba kama hizi Click to expand... Mimi mwenyewe ni mpenzi wa simba kitendo walichofanya viongozi wa simba kutumiwa kisiasa ni aibu. Usiwatetee labda kama na wewe ni mmojawao
Revocatus Kashaga said: hakuna mshabiki wa simba anayeweza kuongea pumba kama hizi Click to expand... Mimi mwenyewe ni mpenzi wa simba kitendo walichofanya viongozi wa simba kutumiwa kisiasa ni aibu. Usiwatetee labda kama na wewe ni mmojawao
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Aug 26, 2013 #22 Mkondakaiye said: Kwa dhambi aliyoifanya Rage kupeleka timu kijijini eti kumzuia Dr Slaa asipate watu, mwaka huu simba itambulia nafasi ya tano kama siyo kukuoswa kushuka daraja. Click to expand... ahahah....Nina hakika Rage kakusoma kwa "neno" la leo ulilompa. kazi kwake kulifanyia kazi.
Mkondakaiye said: Kwa dhambi aliyoifanya Rage kupeleka timu kijijini eti kumzuia Dr Slaa asipate watu, mwaka huu simba itambulia nafasi ya tano kama siyo kukuoswa kushuka daraja. Click to expand... ahahah....Nina hakika Rage kakusoma kwa "neno" la leo ulilompa. kazi kwake kulifanyia kazi.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Aug 26, 2013 #23 Katavi said: Sitegemei kwa timu ambayo ni kubwa kama simba kufanya makosa katika hili. Viongozi walikuwa wapi muda wote? Click to expand... Walikuwa busy kupanga mbinu na Mwigulu ili kukwamisha mkutano wa CHADEMA..Kama hadi Mwigulu kaingia ndani ya Simba.... kwisha habari yao..
Katavi said: Sitegemei kwa timu ambayo ni kubwa kama simba kufanya makosa katika hili. Viongozi walikuwa wapi muda wote? Click to expand... Walikuwa busy kupanga mbinu na Mwigulu ili kukwamisha mkutano wa CHADEMA..Kama hadi Mwigulu kaingia ndani ya Simba.... kwisha habari yao..
B bruno msendo Member Joined Aug 1, 2013 Posts 14 Reaction score 1 Aug 26, 2013 #24 Pata simu aina ya htc wildfire new kwa laki na themanini pia zimauzwa aina zote za simu mawacliano ni 0719182848 ili upate hbr moto moto
Pata simu aina ya htc wildfire new kwa laki na themanini pia zimauzwa aina zote za simu mawacliano ni 0719182848 ili upate hbr moto moto
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 26, 2013 #25 bruno msendo said: Pata simu aina ya htc wildfire new kwa laki na themanini pia zimauzwa aina zote za simu mawacliano ni 0719182848 ili upate hbr moto moto Click to expand... umelipia tangazo lako?
bruno msendo said: Pata simu aina ya htc wildfire new kwa laki na themanini pia zimauzwa aina zote za simu mawacliano ni 0719182848 ili upate hbr moto moto Click to expand... umelipia tangazo lako?