Wakuu mi
nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya
tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta
majanga kwamba sijaaply chochote sa nikawauliza baadhi ya wenzangu kama
saba hivi wakasema na za kwao hvo hvo sa nkapata utata but nikijaribu
kuclick pale kwenye application ili niselect kozi nyingine hapafunguki
sa sijajua tatizo nini na wakati huo huo jina langu halipo kwa wale
waliokosa chuo during 1st round selection.. Jaribun kuangalia za kwenu
wadau
si ni wale wa intake 1 na tuliopata 3
WAKUU HUU UTATA TUUMALIZE HIVIIII...! WALE AMBAO MME-APPLY SECOND ROUND VP NA NYIE MMEANDIKIWA HVYO HVYO HEBU FUNGUKENII BASI! ILI TU CONCLUDE KWAMBA NI TATIZO LA WALE AMBAO HATUKU-APPLY 2nd ROUND, AU HTA NYINYI....!!?
Kwa mujibu wa taarifa ya mwenzangu aliyetemwa 1st round,profile yake iko poa tu but wengine kama 7 hivi ambao hawakutemwa 1st round ni majanga tu kwenye profile zao.Mi mwenyewe kidogo nizimie.
me nadhani hiyo inatokea kwa wale ambao walikuwa na YES pia NO kwenye kozi walizoomba. Mimi nilikuwa na yes 4 alaf No moja lakini meseji inaniambia nichagua "progaram" nyingine na sio "prgammes" pia inasema wameshacheki for illegability .
Mi naamini ni system failure itajirekebisha tu yenyewe, Ondoa shaka.
Wakuu mimi mbna yangu inafunguka ila ipo course moja 2 ambayo nmekidh vigezo mana niliomba cozi nne kat ya hzo nlikuwa na yec moja na no tatu na jina langu kwa wale wakurudia mimi sikuwepo je inakuaje hapo msaada!
dah kwel! Asante mungu kwa hlo kama ndvyo!umepata,hyo hyo moja.
hata mimi yangu inakuja msg kama yako mkuu mana mara ya kwanza nilikuwa na yes moja na no 3! Lakn saiz nkfungua ipo coz moja 2 na ninaletewa msg kama yako cjui inakuaje apo na ckuwepo kwnye majina ya waliokosa!maelezo yako cjayaelewa ktkana na maada inayoongelewa hapaaa! mkuu profile yako now inaonyeshajeee? Au na ww ndo wale mlio-apply 2nd round!