umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Eid mubaraka wakuu,
Leo kidogo tushauriane yamenifika kwa kweli,
Ni hv nina mdg wangu kamaloza form four na kafaulu vizuri tu Dv 1 kapagwa na shule lakini bado hajareport
Yameenda wee nimegundua mdgo wangu mjamzito hatuna cha kufanya na shule hataki kasema
Nimemshauri aemde shule hataki kabsa tushaita vikao hadi basi
Wajubwa nipeni ushauri ukikutana na jambo kama hili unasolv vipi
Mwenye mzigo ni kasharo tu hakajui hata maisha hakana future yoyote
Msaada wakuu