JICHO LA WAZAWA
Member
- Jan 2, 2013
- 16
- 3
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo
hali halisi
baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta occid wa wilaya bwana majebere alihamua kumpelerka mgeni wake huyo (isaya mugulu)kwa wadau mbali mbali huku wadau hao wakiwa sio watu waadilifu kwa maana nyingine ni majambazi na wafanyabiashara haramu pamoja na magendo
wananchi walishangazwa na kitendo hicho cha kumuona mhalifu akiwa anaongozana na kiongozi mkubwa na kwenda kununuliwa chakula cha mchana ambacho kiliandliwa katika hoteli moja kule rongai na majambazi hayo.
Kutokana tukio hilo ambalo kamshna msaidizi wa jeshi la polisi alijua au kutokujua kuwa ameingizwa mkenge kwa kuandaliwa chakula na majambazi kimetangaza neema kwa majambazi hao kuonekana kama miungu watu katika wilaya ya rombo kuwa wao ni namba nyingine na wasichezewe.
Baadhi ya viongozi na wanachi katika wilaya ya rombo wamellamikia kitendo hicho kilichofanywa na occid kuwa sio cha kiungwana kudhalilisha jeshi la polisi kwa kuwa anawafahau watu wote na hivyo ni kudhalilisha jeshi la polisi mbele ya jamii
vitendo vya uhalifu vinaonekana kukithiri kwa kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na unyanganyi wa mali zawatu mf mbao,pikipiki nk pia ubakaji umeshamiri na huku wabakaji wakilindwa na jeshi la polisi katika ngazi ya wilaya.
Jeshi la polisi litume makachero kuchunguza tuhuma hizo zote zina ukweli ..kazi kwenu