Majaliwaamtumbua jipu Daktari kwa sh. 100000.

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12801119_1049437471787377_2898904938042332404_n.jpg

Huu ndio uongozi tuliokuwa tukiuhitaji watanzania, viongozi wazalendo sio wapiga dili za richimond
 
Kwanza daktari lazima arudishe pesa alizomnunulisha dawa huyu mama. Hivi mama kauza shamba kwa shilingi ngapi? tunataka kuchanga pesa arudishiwe aliyenunua shamba ili liweze kurudi kwa mzee.
 
Kwanza daktari lazima arudishe pesa alizomnunulisha dawa huyu mama. Hivi mama kauza shamba kwa shilingi ngapi? tunataka kuchanga pesa arudishiwe aliyenunua shamba ili liweze kurudi kwa mzee.
Hivi katika utawala bora, huyu datari alitendewa haki? nauliza tu.
 
Hivi katika utawala bora, huyu datari alitendewa haki? nauliza tu.
ametendewa haki kwani hajafukuzwa ila amesimamishwa huku police na takukuru keshakuwa mteja wao nayeye aonje utamu wa kudaiwa rushwa.
 
ametendewa haki kwani hajafukuzwa ila amesimamishwa huku police na takukuru keshakuwa mteja wao nayeye aonje utamu wa kudaiwa rushwa.

Amesimamishwa kwa maadili. Kadri ilivyo, ni ngumu kwa DPP kuandaa mashitaka na kumtia hatiani. Kimaadili hakumtendea vema mgonjwa, lakini kuhusu rushwa kimazingira naona kwa wajuz wa sheria watatueleza kama kuna uwezekano wa kutiwa hatiani
 
Back
Top Bottom