chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,700
- 22,740
Uchaguzi unarudiwa upya we n.dezi! Au hujaelewaMwenyekiti wa IEBC alitakiwa kuufuta uchaguzi mara moja baada ya kuona dosari zilizoainishwa na NASA...yeye hakufanya hivyo.
Uchaguzi unarudiwa upya we n.dezi! Au hujaelewaMwenyekiti wa IEBC alitakiwa kuufuta uchaguzi mara moja baada ya kuona dosari zilizoainishwa na NASA...yeye hakufanya hivyo.
Kosa la Seif lina adhabu yake faini ya shs 500,000/= Je kosa la Jecha adhabu yake nini?!Seif alipopora madaraka ya tume na kujitangaza mshindi hilo hamkuliona? Mliona la Jecha tu? Kweli nyani haoni ...............
Kenya Wanayo Katiba, Tanzania Tunayo Kamusi !! then rejea tena jibu la JPM kwa paskali mayalla.
Mimi naona tume imetia hasara kusubiri kesi iende mahakamani wakati kasoro waliziona mapema,walitakiwa kufanya maamuzi kama ya Jecha hapo ninge wasifu.Kosa la Seif lina adhabu yake faini ya shs 500,000/= Je kosa la Jecha adhabu yake nini?!
Acheni kulinganisha aibu na uungwana!! Wakenya wameweka hoja mezani na mawakili wamepambana na kisha majaji wameamua, Jecha muhuni amejifungia na majeshi kisha anafuta uchaguzi !!
Cairo's
WatanZania wagoma kupiga kura , wataka serikali sikivu iendelee kuwepo madarakanihiyo hiyo Kamusi ndio Wapinzani walishiriki kwny Uchaguzi na kushinda Majimbo Bungeni na kuendelea na kula Posho Kama kawaida!
Waambie Wapinzani wenzako wawe na ujasiri wa kususia kabisa Uchaguzi na hata wakipewa Majimbo wasiende Bungeni ili kushinikiza, mnataka CCM iwasaidie Wapinzani kuipinga Serikal?
Kazi ya Wapinzani ni kuipinga Serikal sio kulia Ila
Mmeambiwa msifanye Mikutano mmeufyata
Mkipewa Ruhusa mnajisifu pia tuwaone Makamanda Kumbe ni utashi tu
Unadhan Kenya Rais angepiga Marufuku Mikutano ya Siasa Wapinzani wangetii kama Hawa wetu?
Hata Nyie Wapinzani mna cha kujifunza toka Kenya muwe strong sio laini laini msubiri spoon feeding
Lol!!!!!Mimi naona tume imetia hasara kusubiri kesi iende mahakamani wakati kasoro waliziona mapema,walitakiwa kufanya maamuzi kama ya Jecha hapo ninge wasifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jecha hakukosea alifuta uchaguzi kwa mujibu wa sheria seif na CUf wakasusa uchaguzi wa marudio Kama waliamimi walishinda si wangerudia sababu wangeshinda tena!Kosa la Seif lina adhabu yake faini ya shs 500,000/= Je kosa la Jecha adhabu yake nini?!
Acheni kulinganisha aibu na uungwana!! Wakenya wameweka hoja mezani na mawakili wamepambana na kisha majaji wameamua, Jecha muhuni amejifungia na majeshi kisha anafuta uchaguzi !!
Cairo's
Mimi naona tume imetia hasara kusubiri kesi iende mahakamani wakati kasoro waliziona mapema,walitakiwa kufanya maamuzi kama ya Jecha hapo ninge wasifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka huwezi kuwa na akili na uungwana ukasifu kazi ya Jecha. IEBC hawakuona kosa labda kwa makusudi au vyovyote! Lakini kesi (hoja) ilipowekwa mezani ukweli ukawa wazi.Mimi naona tume imetia hasara kusubiri kesi iende mahakamani wakati kasoro waliziona mapema,walitakiwa kufanya maamuzi kama ya Jecha hapo ninge wasifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna MTU kaniambia kuwa Kenya INA maLissu 500. Huku kwetu tunaye mmoja tu.CCM msidanganyike, acheni kenya wafanye nyie komaeni! Siku mkiruhusu kupingwa mahakamani, kitu Lissu atawafanya mtasimulia vizazi
kila nisikiapo au kuona jina JECHA mwili hunisisimka zaidi ya wazanzibari wanavyojisikia! Nina hakika ningekuwa mzanzibari ningekuwa ama "nimeshapotezwa au NINGESHAMPOTEZA mdudu mtu huyo.hayo maamuzi mnayoyasema hayangewezekana kabisa huko kenya..mfahamu kwamba upande mmoja ulisadiki kwamba wameshinda na ule mwingine hivyohivyo.sasa kusema tume ya uchaguzi ingelifutilia mbali matokeo hayo wakati muda walipewa wa kutosha ili kujiandaa ni jambo ambalo lingeibua maswali mengi kuliko majibu.ila kesi kuwasilishwa mahakamani na kujadiliwa mpaka wanatoa uamuzi ni jambo ambalo limeonyesha fairness kwa pande zote mbili.
Jecha was right ila tuu ni kwamba hana maamuzi ya mwisho. Rais akasema hapanakwa kauli yako jecha Anaakili nyingi na anastahili kupewa Nishani ya Uzalendo.
Hiyo kazi ya majaji ilipaswa kufanywa na Jecha wa kenya maana yote nadhani aliyaona.
ikp sawa bossWao ndio wamefuata Nyayo zetu kufuta Uchaguzi baada ya kasoro kujitokeza ( rejea ya Jecha na ZEC)