Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Kama walimpima na kumwambia hivyo itakuwa ni kweli Ma Daktari hawawezi kusema uongo ni kazi yao hiyo mkuu MaarkoMzizi najua Unatumia muda wako mwingi kutuelimisha kuhusu afya zetu,kuna ndugu yangu mmoja mwanaume alienda kutoa damu hosptal,aliyekua anahitaji damu ni mama mmoja mwenye damu group B+,alivyopimwa yeye akaambiwa anayo damu group O- hivyo hawezi kumpa yule mama kwa sababu itampa shida akiitaji kupata watoto,je ni kweli au damu yake ilikua haifai wakamzuga tu? chonde jamaa hana raha kabisa sasa.ASANTE.