tuanze na mpiga picha alisaliti wenzao, akachepuka na kuwapiga picha. awali alilalia viatu, kando ya chupa ya maji.
haya sio maisha ya siku zote kama kichwa cha habari kinavyotaka kutuaminisha. hawa wamejikuta katika hali hii kutokana na msukumo wa ghafla: dharula ya ubovu/hitilafu ya chombo cha usafiri, msiba; ndio maana tunaona chupa ya maji na mabegi pembeni.