twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
- Thread starter
-
- #41
SEHEMU 4.Sehemu ya tatu,
Samahani atakae taka niendelee asome, Mimi nishasema sio mwandishi mzuri,
Ok,baada ya kupata permit ya ukaazi tulijitenga, mi nikaenda cape Town, Roby akabaki joburg, namshukuru Mungu malezi ya utotoni yalinisaidia kumudu maisha ya sauz, maana kuingia ktk ulevi wa madawa no kugusa tu,kwa maana yapo anywhere, anytime just yo cash..
Basi jamaa yangu Roby tunavoongea ni Teja Ila kwa Sasa anapata ahueni, baada ya kutoka gerezani,ambako alitumikia miaka 7.
Baada ya kuwa cape Town ki ukweli nilipata mwanamke wa umri wa mama yangu, lakn ni shida ndo zilipelekea kuingia ktk mahusiano, lakn sio poa kuoa mzee kisa njaa, ni jela huru uraiani,..
Basi nimekaa na mama huyo miaka 2 na tulipata mtoto wa kiume, wakati tuko na familia mke wangu alikuwa mfanyabiashara, akienda Sweden na kuleta vipuri mbalimbali vya kitambo na magari,Mimi nilikuwa msambazaji wa Oda ktk maofisi ya watu,,
Ilipofika mwaka 2008 tayr niliweza kupata vigezo vya kumiliki paspot ya sauzi, baada ya kupata hiyo pasi niliona tayr malengo yangu yanaenda kutimia, maana Mimi ndoto yangu haikuwa kuishi sauzi,Toka Niko mdogo nawaza Safari ya mtoni,..
Nitaendelea baadae,Ila wakatisha tamaa pungueni
ikawaje huko olso?SEHEMU 4.
Basi wakati wife analeta mzigo Mimi mapambana mtaani lakini kichwani sijaridhika, naiwaza Safari ya mbele, wife anaenda anarudi huku mi nazichanga,
Siku moja nikamueleza nataka kwnda Sweden kutalii, ikawa poa, kwa South African passport holder ni Visa free kwa nchi nyingi za ulaya, nikajiandaa na tayar nilikuwa na mawasiliano na watoto wa temeke ambao wako Sweden nyundo kibao, Basi, mchizi nikakwea pipa, destination ya kwanza uhoranzi,.ile nashuka airport nahisi kizungu zungu, maana nilikula dag la kutosha ndani ya dege la KLM, airport ni kubwa balaa, ndege yangu inaondoka kwenda Sweden mi sijielewi nimelala.
Baada ya masaa 3 nastuka nafatilia ndege yangu ilishaondoka kitambo, nikawasiliana na agent wangu, nikapewa huduma ya chakula na mahitaji yote,Ila nililipia km Dola 50 tu wenzetu wanajali Sana biashara, kesho yake majura ya saa 6 mchana nikapanda pipa, mpk mjini Oslo..
Ulaya unaweza safiri muda wowote, kumbuka Mimi Nina Visa free ktk Schengen countries zote, so kutoka Oslo kwenda Stockholm is just nose an mouth, Kuna treni za umeme haijawahi shuhudia nadhanikawaje huko olso?
wakati ukiwadia nitatembelea huko kujionea.Ulaya unaweza safiri muda wowote, kumbuka Mimi Nina Visa free ktk Schengen countries zote, so kutoka Oslo kwenda Stockholm is just nose an mouth, Kuna treni za umeme haijawahi shuhudia nadhan
Visa Processing fee ya kuingia Canada tukutumie kwa Western Union?Ilikuwa miaka ya 97 wakati naingia kidato Cha kwanza ktk shule moja ya tech,iliitwa yombo. Maeneo ya vituka, nawakumbuka mwl wangu moja aliitwa mafwili, na lufumbo
Dah hapo nagusia kabla sijaachana na shule kuelekea ughaibuni, Safari yangu ya kwanza ilianzia dar kuelekea south, nilipewa Ada yangu ya shule wakati huo ilikuwa 116k kwa day km sikakosea, nilikaa na Ada wakati tayari wapo machizi wangu wakisoma bagamoyo tukisubiri mchongo wa Safari
Siku ya Safari tulitoka dar kwa express train ya Zambia tazara, wakati tukiwa na temporary paspot za karatasi,na poker money km TSH 80, huuuu mpk Zambia, tukaisaka boda ya Zimbabwe, huu kimbembe ni kuuvuka mto Limpopo, dah mamba wengi
Kuna wataalam wa kuvusha watu unalipia km TSH 10, kwa wakati huu, wakati tuko njiani, Mara Wana Kijiji wakastuka kwamba sisi ni wageni, wakaanza kutuhoji, tukashindwa kujibu wakaanza kutufukuza na viboko juu, huku wakisema chikara wale chikara wale, sijui walimaanisha nini
Basi, mwishowe walirudi tukasonga tukavushwa na wenyeji, Mara paap joburg hii hapa
Dah ki fupi ni jiji zuri Sana watoto wazuri, chakula Cha waziri anakula hata machinga, nyama ya kuku ndio Bei rahisi km dagaa bongo
Basi tukaingia mtaani na jamaa yangu aliitwa Roby mtoto wa Kota tazara, tulianza biashara ya matunda na pipi, ilikuwa inalipa, unavaa vizuri,unakula vizuri, inalipa Kodi ya nyumba, Mimi sio mzuri ktk kuelezea lakini nivumilie kama utapenda, ntaeleza hatua kwa hatua,mpaka Safari yangu ya Sweden na leo ni raia wa Canada, kuwa mvumilivu kidogo.
Stay tuned
Jitaidi kutenda muda wa kutosha uandikee kwa kilefuu broooIlikuwa miaka ya 97 wakati naingia kidato Cha kwanza ktk shule moja ya tech,iliitwa yombo. Maeneo ya vituka, nawakumbuka mwl wangu moja aliitwa mafwili, na lufumbo
Dah hapo nagusia kabla sijaachana na shule kuelekea ughaibuni, Safari yangu ya kwanza ilianzia dar kuelekea south, nilipewa Ada yangu ya shule wakati huo ilikuwa 116k kwa day km sikakosea, nilikaa na Ada wakati tayari wapo machizi wangu wakisoma bagamoyo tukisubiri mchongo wa Safari
Siku ya Safari tulitoka dar kwa express train ya Zambia tazara, wakati tukiwa na temporary paspot za karatasi,na poker money km TSH 80, huuuu mpk Zambia, tukaisaka boda ya Zimbabwe, huu kimbembe ni kuuvuka mto Limpopo, dah mamba wengi
Kuna wataalam wa kuvusha watu unalipia km TSH 10, kwa wakati huu, wakati tuko njiani, Mara Wana Kijiji wakastuka kwamba sisi ni wageni, wakaanza kutuhoji, tukashindwa kujibu wakaanza kutufukuza na viboko juu, huku wakisema chikara wale chikara wale, sijui walimaanisha nini
Basi, mwishowe walirudi tukasonga tukavushwa na wenyeji, Mara paap joburg hii hapa
Dah ki fupi ni jiji zuri Sana watoto wazuri, chakula Cha waziri anakula hata machinga, nyama ya kuku ndio Bei rahisi km dagaa bongo
Basi tukaingia mtaani na jamaa yangu aliitwa Roby mtoto wa Kota tazara, tulianza biashara ya matunda na pipi, ilikuwa inalipa, unavaa vizuri,unakula vizuri, inalipa Kodi ya nyumba, Mimi sio mzuri ktk kuelezea lakini nivumilie kama utapenda, ntaeleza hatua kwa hatua,mpaka Safari yangu ya Sweden na leo ni raia wa Canada, kuwa mvumilivu kidogo.
Stay tuned
Nakosa nafasi ya utulivu ili kumalizi story ingawa unahitaji muda na utulivu,ninapopumzika kidogo nadonoa,Sasa wengi wenu kejeli nyingi natamani kuachaJitaidi kutenda muda wa kutosha uandikee kwa kilefuu brooo
Hili kasri lako lina hadi sehemu ya kukuzikia?
Nipo mkuu.Mpaka sasa sijamuona konda wa usafini