Maisha yangu ughaibuni

Muache amalizie alooh.
Don't judge the book by its cover..
Wengine weekend hii hatuna pa kwenda
 
Mkuu kama hutojali naomba unitumie yote nitakusaidia kupangilia Visa,vizuri kabisa.
Msaada tu
 
Ok
 
Mwacheni mkanada aendelee kupiga mbungi
 
Burudika tu mkuu Kama unapenda story za majuu Ila Kama hata ni ukweli ama ni uwongo utafaidika Nini ama utapungua Nini. Ama unaleta umakini ambao unatakiwa hi uweke kwenye maisha yako Bali kuchambua story
 
Niburudike na nini mkuu hii haipaswi kuwa kama hadithi hii ni story inatakiwa iwe ya kwel isiwe na chembe chembe za uongo

Kuna wadogo zetu humu wana ndoto ya kuzamia tukiwaongopea tunawaharibu
 
Form one nilisoma na wasukuma wana ndevu na wameacha watoto na wake
Huko suala la umri sio muhimu sana eti
 
Wewe jamaa utakuwa na akaunti zaidi ya moja unazitumia kujibizana

Haiwezekani story ya uongo watu wanashadadia umesema ulitoka Kibaha na tren ya Tazara ukashiwa wapi!? Huo mto uliukuta wapi?

Kama ulipita njia za panya (huko ulikokutana na mto) kibari cha mda hicho unachosema cha karatasi kilikusaidia nini?

Harafu pia hicho kibari ulikipata wapi? Kuna maswali mengi sana aiseee
 
Endelea umalize mkuu, hawa wakatisha tamaa huwa hawaishi humu kwahiyo usiwajari wala nini.

Halafu jamaa ashasema sio mwandishi mzuri kama una endelea we endelea kama huwezi unaacha. Alishatoa tahadhari mapema kabisa lakini kuna viumbe wana kusikia kwa kenge mpaka watoke damu ndo wanaelewa.

Huwezi kuisoma unaona kama ni chai, unahisi jamaa anatuchota, unahisi anatafuta wa kuwapiga/fursa, we kausha tu sio vizuri kushadadia mambo yasiyokuhusu na ushapewa tahadhari.
 
I wanted to give the way to my destiny unfortunately, u think that is just kidding,let me end up here, cause is kind of time wastage, nope my friend, insist proactivity on your doing
 
I wanted to give the way to my destiny unfortunately, u think that is just kidding,let me end up here, cause is kind of time wastage, nope my friend, insist proactivity on your doing
Yan ingekuwa n stori yangu mie nawapa za uso kavukavu hao wajinga huku naendelea kutoa stori mtanzania n mvivu mjinga ndugu yake kulalamika.

Endelea na stori yako mzee hao wajinga unaachana nao waendelee kulipa bukubuku Tanesco za wenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…