Mtanga Tc, nikafanyiwe wapi mamombi? Waombeaji wenyewe siku hizi wamekuwa wajanja wajanja sana,
Utawasikia wakikuuliza, unaishi wapi, ukijibu Masaki, wanaendelea, una magari mangapi? kayalete tuyaombee, maana umewekewa maroho machafu kwenye magari yako.
Tena usisahau kuleta na kadi tufanye transfer kabisa