Maisha yangekuaje humu JF kama tungekuwa tunajuana kiundani

Boss Man

JF-Expert Member
Feb 10, 2022
458
991
Mimi kutokukujua ndio hadhi uliyokuwa nayo kwangu na wewe kutokunijua ndio hadhi niliyokuwa nayo kwako lakini hii hai apply hapa Jamii Forum

Hivi ikitokea siku humu kila mtu akajua kwa undani maisha ya mwenzake itakuwaje, Yani kwa mfano mm mkanijua kuanzia kazi ninayofanya hadi familia yangu na ukoo wote sijui maisha yangekuaje maana hivi tu hatujuani lakni mtu anakuchambua nje ndani, haya ukijakujua ninapolala? Kuna watu wangekuwa hawa comment chochote humu ndani

Ukishamjua mtu unamzoea na ukimzoea hadhi ipotea lakini Jf ni vise versa hatujuani lakini kama vile tunajuana na bado tumezoeana na kama una hadhi basi anza kuiacha mtaani kwako ukiingia humu ukijikologa tu utaambiwa unakaa kwa shemeji yako kumbe ukute Kijiji kinakutegemea huko bila ww siku haiendi
 
Just imagine Yale majamaa mabishi ya humu likienda saloon kinyozi analiuliza "mashine inaumiza ?"😂
Au analiambia "mashine ikikuumiza useme" au linaambiwa "inamisha (kichwa) kidogo"
So Mkuu vingine uki imagine ni vituko tu
 
Kikubwa ni kusitiriana tu, kama unamjua fulani nje ndani unatakiwa ukiwa hapa ukifanye kama vile humjui.

Lakini ukiwa mtu mzima mwenye akili huwezi kumashushia mtu heshima kisa tu unamjua.

Pia ukiona unajulikana sana na unataka uishi hapa jf bila kujuana badilisha id, ila kusitiriana ndio la maana.
 
Ukijua sura halisi ya mtu ni mwanzo wa kumdharau, watu tuna sura za pekee.
 
Mmmh wala tunda kimasihara ingekuwaje!?!

Mshana angekuwa anatufichia Siri, za wateja wa kilingeni!

Haaataaariiii
 
Tungekuwa tunakoment kwa kuogopa watu. Unaweza kukuta mm ni mchungaji mkubwa wa kanisa lkn nikiwa jf nakuwa hamnazo kabisa
Bwana weh! kwanza kungekuwa hakuna kudanganyana, uko comment mtu ana connect dot kuanzia maisha yako Hadi comment uliyoitoa kama Ina uhalisia
 
Kipindi naanza kusoma soma mawazo ya wadau humu nilikuwa napata tabu sana kujielezea maana kila moja dizain anamaisha flani ivi , utaskia nimempakia kwwnye gari yangu , na bla bla kibao , au utaskia nimempangishia dem kwenye apartment, yani kila moja anajqribu kujionyesha yupo maisha flani ya juu ... nlipo zoea ile hali baso sahvi nachukulia kawaida sana ....... au utaskia mimi bwana nikipata dem saa zima na chakata bila kukojoa 🤣🤣🤣
 
Lakini hutasikia wakisema
'Nililewa mijamaa ikajisevia tigo'
Au demu wangu anachukuliwa na jirani..,Au Nina kibamia au Dem aseme ana bwawa la mtera.
Kiufupi jf hakuna mnyonge
 
Tungekua tunajuana humu hamna mtu angemshobokea demu wa jf ni wabibi kinyama yaani hamjui tu ila humu wanajidai walaini hata kutafuna biskuti hawawezi
 
Kipindi naanza kusoma soma mawazo ya wadau humu nilikuwa napata tabu sana kujielezea maana kila moja dizain anamaisha flani ivi , utaskia nimempakia kwwnye gari yangu , na bla bla kibao , au utaskia nimempangishia dem kwenye apartment, yani kila moja anajqribu kujionyesha yupo maisha flani ya juu ... nlipo zoea ile hali baso sahvi nachukulia kawaida sana ....... au utaskia mimi bwana nikipata dem saa zima na chakata bila kukojoa
Yani humu usipokaa kitaalamu wewe ndio unakuwa Mnyonge
 
Tungekua tunajuana humu hamna mtu angemshobokea demu wa jf ni wabibi kinyama yaani hamjui tu ila humu wanajidai walaini hata kutafuna biskuti hawawezi
Wacha bhana inaonesha ww unawajua
 
Kipindi naanza kusoma soma mawazo ya wadau humu nilikuwa napata tabu sana kujielezea maana kila moja dizain anamaisha flani ivi , utaskia nimempakia kwwnye gari yangu , na bla bla kibao , au utaskia nimempangishia dem kwenye apartment, yani kila moja anajqribu kujionyesha yupo maisha flani ya juu ... nlipo zoea ile hali baso sahvi nachukulia kawaida sana ....... au utaskia mimi bwana nikipata dem saa zima na chakata bila kukojoa
Madoni wapo humu ila sifa yao kubwa hawaposti sana
 
Back
Top Bottom