Maisha yanabadilika: Phone Book ya Mwakyembe contacts zake. Mungu tu ndo anajua anakoelekea

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Kipindi kile Mwakyembe alipokuwa waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Phone Book yake ilikuwa na majina haya
Eng: Mwakitalu
Dr: Lusingo
Prof:Ambalisye
Eng: Mushi
Contractor Mabula
n.k

alipokuja kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Lawyer Andulile
Lawyer Lusungu
cons and pros Law Firm
n.k

LEO HII NI WAZIRI WA STAREHE, BURUDANI NA HABARI

hamorapa
gigy money
amba lulu
ray kigosi
mwogo mchungu
dimond
ali kiba
wema team
lulu
wolper
chid benz
ney wa mitego
naco 2 naco
ommy

MSISHANGAE MUDA SI MUDA NAYE ATASHIRIKISHWA KWENYE CORRABO FLAN HIVI. Au akaamua kuchana mistari.leo hii mwakyembe amekuwa ni mtu wa kuzungunga na ney wa mitego, roma n.k kwnye vyombo vya habari. na hapo hajapangiwa ratiba ya kukutana na giggy money au akatafuta ratiba ya kukutana na amber lulu.

aisee..sijui hii dunia inazungukaje? sometime dunia inaenda kama nyoka, kona kona kibao. la msingi anakula pesa za umma. hilo ndo la kuwaza ila haya mengine yapo above level yake. SASA HATUJUI BAADA YA HAPO ATAPEWA UWAZIRI GANI ULIOBAKIA KUSHUKA CHINI.
 
Waziri ni waziri tuu.Mwacheni Mwakyembe afanye kazi mshahara anaolipwa hauna tofauti na mawaziri wengine
Hi Wemaaaaa!
 
mimi sina njaa kama wewe ulivyo na njaa... naweza kukuchukua wewe na mumeo na watoto wenu wale wawili nikawalea nikawalisha vizuri na shule mkaenda. mwambie yeye afanye hivyo kama anaweza. mimi nakutunza wewe na mumeo na watoto wenu na dada zako wale wawili na kaka yako yule teja. we utakaa kwangu ule na kunywa na kujisaidia bure kabisa mpaka ufe kwa uzee. na hata mumeo pia.

kwa hiyo unamshauri nini sasa, we piga majungu lakini mwenzio anakula pesa na hana njaa kama wewe!!
 
dada kabombe umeshabombekwa tena.... nawe unazaa kila mwaka????????????? au sababu mwenyekiti alisema mfyatue tu matofali toka matumboni mwenu?
mimi sina njaa kama wewe ulivyo na njaa... naweza kukuchukua wewe na mumeo na watoto wenu wale wawili nikawalea nikawalisha vizuri na shule mkaenda. mwambie yeye afanye hivyo kama anaweza. mimi nakutunza wewe na mumeo na watoto wenu na dada zako wale wawili na kaka yako yule teja. we utakaa kwangu ule na kunywa na kujisaidia bure kabisa mpaka ufe kwa uzee. na hata mumeo pia.
 
dada kabombe umeshabombekwa tena.... nawe unazaa kila mwaka????????????? au sababu mwenyekiti alisema mfyatue tu matofali toka matumboni mwenu?

Waziri ni waziri tuu.Mwacheni Mwakyembe afanye kazi mshahara anaolipwa hauna tofauti na mawaziri wengine
Hi Wemaaaaa!
 
sawa mama haina shida. kuona nimekuita dada unaona ni majibu ya kibavicha ila ulitaka nikuite changudoa ndo ya kilumba? mi nakuheshimu hutaki????????????
Majibu ya kibavicha hayo
 
na ndicho nlichosema kuwa kwa kuwa anapata mshahara na ndo lengo kuu wacha tu aendelee kubuzi buzi wizarani hapo akipiga selfie ...angekuwa anawaza zaidi ya salary angekuwa amejiuzulu kwa hiyo demotion.

Waziri ni waziri tuu.Mwacheni Mwakyembe afanye kazi mshahara anaolipwa hauna tofauti na mawaziri wengine
Hi Wemaaaaa!
 
na ndicho nlichosema kuwa kwa kuwa anapata mshahara na ndo lengo kuu wacha tu aendelee kubuzi buzi wizarani hapo akipiga selfie ...angekuwa anawaza zaidi ya salary angekuwa amejiuzulu kwa hiyo demotion.
Ajiuzulu kwani aligombea ubunge ili awe waziri?
V8 na marupu rupu mengine ni pale pale
 
Kipindi kile Mwakyembe alipokuwa waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Phone Book yake ilikuwa na majina haya
Eng: Mwakitalu
Dr: Lusingo
Prof:Ambalisye
Eng: Mushi
Contractor Mabula
n.k

alipokuja kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Lawyer Andulile
Lawyer Lusungu
cons and pros Law Firm
n.k

LEO HII NI WAZIRI WA STAREHE, BURUDANI NA HABARI

hamorapa
gigy money
amba lulu
ray kigosi
mwogo mchungu
dimond
ali kiba
wema team
lulu
wolper
chid benz
ney wa mitego
naco 2 naco
ommy

MSISHANGAE MUDA SI MUDA NAYE ATASHIRIKISHWA KWENYE CORRABO FLAN HIVI. Au akaamua kuchana mistari.leo hii mwakyembe amekuwa ni mtu wa kuzungunga na ney wa mitego, roma n.k kwnye vyombo vya habari. na hapo hajapangiwa ratiba ya kukutana na giggy money au akatafuta ratiba ya kukutana na amber lulu.

aisee..sijui hii dunia inazungukaje? sometime dunia inaenda kama nyoka, kona kona kibao. la msingi anakula pesa za umma. hilo ndo la kuwaza ila haya mengine yapo above level yake. SASA HATUJUI BAADA YA HAPO ATAPEWA UWAZIRI GANI ULIOBAKIA KUSHUKA CHINI.

Kwa kukusahihisha tu, huwa haiandikwi Lawyer Andulile, huwa wanajiita Advocate Andulile, rudi tena shule, usiandike usivyovijua...
 
jinga wewe... nimeandika namna anavyoandika yeye... si navyoandika mimi.... unaonekana hukupata elimu kabisa maana unachoandika sicho ambacho kichwa cha habari kinasoma. yeye amendika lawyer andulile kwa namna ambavyo phone book yake ilivyokuwa inasoma hapo kabla. unaleta uzezeta wako kwa wanaume huku.... upo menstr.... ndo maana unajiita mes....

Back
Top Bottom