Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 7, 2012 #1 Watu wanakula bata humu lakini tukumbuke PUA zetu wote zinaelekea UDONGONI
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 7, 2012 Thread starter #2 Eti Kuna Wamarekani wanasema kama Mbinguni (peponi) hakutakua kuzuri kama Marekani watagoma kuingia hata kama ni kwa Rehema.....
Eti Kuna Wamarekani wanasema kama Mbinguni (peponi) hakutakua kuzuri kama Marekani watagoma kuingia hata kama ni kwa Rehema.....
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,345 Reaction score 30,749 Apr 8, 2012 #3 Hahahha! that's crazy.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,975 Reaction score 22,439 Apr 8, 2012 #4 Amavubi said: Eti Kuna Wamarekani wanasema kama Mbinguni (peponi) hakutakua kuzuri kama Marekani watagoma kuingia hata kama ni kwa Rehema..... Click to expand... kwa hiyo bora waingie motoni? Mhh!
Amavubi said: Eti Kuna Wamarekani wanasema kama Mbinguni (peponi) hakutakua kuzuri kama Marekani watagoma kuingia hata kama ni kwa Rehema..... Click to expand... kwa hiyo bora waingie motoni? Mhh!
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Apr 8, 2012 #5 Kibongo bongo akimilika huo mzigo na hawa ndugu zetu lazima wa kululu
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Apr 8, 2012 #6 Mzinga said: Kibongo bongo akimilika huo mzigo na hawa ndugu zetu lazima wa kululu Click to expand... Dah! Nilikuwana na mpango wa kumiliki lakin nimeghaili mkuu!
Mzinga said: Kibongo bongo akimilika huo mzigo na hawa ndugu zetu lazima wa kululu Click to expand... Dah! Nilikuwana na mpango wa kumiliki lakin nimeghaili mkuu!
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Apr 8, 2012 #7 Amavubi said: View attachment 51186 Watu wanakula bata humu lakini tukumbuke PUA zetu wote zinaelekea UDONGONI Click to expand... huku ndo peponi ila sisi tulipo ni motoni. amini msiamini
Amavubi said: View attachment 51186 Watu wanakula bata humu lakini tukumbuke PUA zetu wote zinaelekea UDONGONI Click to expand... huku ndo peponi ila sisi tulipo ni motoni. amini msiamini
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Apr 8, 2012 #8 hiyo nimewahi kuipanda, kama unabisha kivyako. Pasaka njema
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 10, 2012 Thread starter #9 Never give up said: kwa hiyo bora waingie motoni? Mhh! Click to expand... Bora wabaki Marekani