B Baba_Swalehe Member Joined Dec 10, 2018 Posts 8 Reaction score 9 Dec 16, 2018 #1 Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania. siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumlaView attachment UEFA reportage over Mbwana Samatta.mp4
Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania. siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumlaView attachment UEFA reportage over Mbwana Samatta.mp4
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,431 Dec 16, 2018 #2 Mbwana SamAta a.k.a Bujibuji
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Dec 16, 2018 #4 Na mimi nikiwa mdogo nataka niishi kama Samata