mapadre wanajua sana maandiko tatizo hawataki kusema ukweli wa neno la Mungu,, wao wanajali matumbo yao na kuheshimu wanadamu badala ya Mungu,hapo tu ndio wameanguka.
papa mwenyewe anajua kabisa kuwa yupo kinyume na Mungu katika mambo mengi ila sasa haoni pa kuanzia ili ajinasue, shetani naye ndio anazidi kuwafumba macho mwisho wa siku anasurrender kuwa wakala wa shetani.