Maisha ya msoga

Dah, kwa hiyo jamaa wanywa gongo kama pale kigogo mbuyuni...
 
Ha ha ha ha haaaaaaa.......Hii hata mimi ishanitokea......... Kumbe hata hizi kompiyuta huwa zinapata stress........
 
huyu jamaa kaandika kwa kutumia lugha ya mkulu wetu au ni ajali kazini?
 
nafikiri hicho ndicho alichokusudia kupost, na sisi ndio tunacoment kama hivi, wala mode usimpige ban wala kudlete post yake, ni uhuru wa kupost!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…