Maisha ya kutegemea misaada hasa nchi yetu

retweeted

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,339
Reaction score
920
World Bank na IMF hawa hawa ndo walio mtisha Nyerere saiz naona wanataka kumtisha Magu sijui hawajui kwamba Tanzania kuna watu wengi wanao jitambua vizuri
Hafu maisha ya kuishi kwa kutegemea misaada ni ukoloni wa kitumwa sana lazima tufike mahali na sisi tuwe na kauli. Wasitake kutunyanyasa na viela ambayo wateja wake wenyewe ni sisi
 
Uelewa wa watu wengine ni mdogo sana hawastahili kuwepo JF nafikir kungekuwa na mchakato wa kupima watu kabla hajawa member
 
Reactions: m.k
Sasa jiulize pamoja na msimamo thabiti wa nyerere usio na makandokando wala rushwa alifeli je tutaweza hasa kwenye kipondi hichi kilichojaa rushwa na kujirimbikizia mali harafu jiulize utawala wa Jomo kenyata pamoja na kujilimbikizia mali na rushwa mamelifikisha taifa lao wapi?

Lazima tukubali sisi ni maskini hatuwezi kwenda kinyume na dunia nyerere alijaribu alifeli.
 
Ila SIO kwa sasa wasomi tunao wengi sana mwalimu alifeli wajinga walikuwa wengi
 
Ila SIO kwa sasa wasomi tunao wengi sana mwalimu alifeli wajinga walikuwa wengi
Wasomi wenyewe ndo akina nani au mpango na kabudi au wale waliondaa kongamano la kumtukuza mkuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…