Ndugu wanajf napenda kufahamu na kujua,,Changamoto ambazo utakutana nazo Ndani ya miji ya kenya!! kama Nairobi,Nakuru Lamu,Mombasa,,
Ukiwa kama mwajiriwa,,umejiajiri!! na vigezo vyote vya uhamiaji umekamilisha!!
kule wenzetu wamepiga hatua alafu wanafuata sheria ukiwa unafanya kazi uwe una pesa mingi na kama utaamua kujiajiri fanya big investment hakuna ubabaishaji kama bongo people are always smart and serious.
Kule maisha si lelemama kama bongo, serious kweli muda ndo pesa, (githeli & wali wao havina ladha nzuri) vyakula pika mwenyewe la sivyo kila weekend rudi bongo kama utaweza!