Maisha ya Hostel siku za Mwanzo Chuo kikuu

Ha ha ha yalikukuta bwana weee..... Basi sisi mwaka wetu ndo tuliokuwa wa kwanza kupangiwa mabibo hostel mwaka 2001. Mi nikatupwa mabibo na marafiki zangu wakabaki main campus. Lakini nikawa bado natokea home (mbezi beach) naenda chuo kwa karibu kama miezi miwili hivi basi ndo maclass mate zangu wa mabibo wakawa wanaeleza mambo ya mabibo yalivyokuwa hot hot na mabinti kama kina kitimoto na wengine kama mtakumbuka. Basi mi nikaona nikienda mabibo basi nitachakachua uadilifu wangu, so nikaswitch na jamaa mmoja mshamba mshamba akaenda mabibo na kunipisha campus. Basi tangu mwaka huo hadi 2005 sikuwahi kukosa accomodation main campus.

Pia nakumbuka cc ndo tuliokuwa wa kwanza kufanya matriculations ili kujoin chuo.... Challenges zilikuwa kibao kwa wwale tulio ingia 2001
.
 
Kitimoto namkumbuka sana huyu alikuwa anasoma sheria, alikuwa anatoa utamu kwa garama nafuu na walikuwa wanasema ni gridi ya umeme wa taifa.....ila juzi kati nilimwona town ana dunda ila kazeeka kidogo. Alikuwa mbabe anapiga wanaume
 
By the way nimependa hilo neno mndenyi............Bila shaka utakuwa ushakata tiketi ya kwenda kwenu kutambika.......Hamchelewi nyie.
 
nakumbuka zilikuwa hazijakamilika... nilikabidiwa funguo na godoro kwa vitanda havikuwapo...na intake yetu ilikuwa first year tupu....ilikwa balaaa bluuuu...full exile...full kupombeka...full fujo...na mwaka huo madent kibao walikula disco...mkeshahoi nikaendelea peta hadi kumaliza!!
 
Kitimoto namkumbuka sana huyu alikuwa anasoma sheria, alikuwa anatoa utamu kwa garama nafuu na walikuwa wanasema ni gridi ya umeme wa taifa.....ila juzi kati nilimwona town ana dunda ila kazeeka kidogo. Alikuwa mbabe anapiga wanaume
yule mdada alipata shuruba lakini alikuwa sugu...... block A walikuwa wanamwandika kwa kila aina ya tabia alokuwa nayo!!
 
Mi pia nlimuona Kitimoto majuzi kachoka kiaina. Ila nadhani labda ni maisha na utu uzima tuu.
 
RED: Akifaulishwa rum tu.... anapigwa mtungo...akitoka asubuhi akijifanya domodomo...walinzi wanapewa buku...anabebwa mzobe mzobe hadi nje...
 
By the way nimependa hilo neno mndenyi............Bila shaka utakuwa ushakata tiketi ya kwenda kwenu kutambika.......Hamchelewi nyie.

Mdenyi ni kijijini au shambani ndio niliko sasa hivi tiketi ya nini. Mimi naishi huku Rombo Mamsera karinbu supu ya mbuzi
 
Ebwana eeeeee huwenda siku tukikutana kwenye Party ya JF patakuwa hapatoshi. Huenda tumepishana sana tu kwenye makorido ya chuo bwana.
 
Red: niliweka sharti rum..anaetaka kunpiga EXILE sharti aweke buku ya bia(miaka hiyo bia ilikuwa mia nne tu!!)
 
yule mdada alipata shuruba lakini alikuwa sugu...... block A walikuwa wanamwandika kwa kila aina ya tabia alokuwa nayo!!

Mi pia nlimuona Kitimoto majuzi kachoka kiaina. Ila nadhani labda ni maisha na utu uzima tuu.

Aisee kwa nini mtu akizeeka sura inakuwa mbaya? I hate this

RED: Akifaulishwa rum tu.... anapigwa mtungo...akitoka asubuhi akijifanya domodomo...walinzi wanapewa buku...anabebwa mzobe mzobe hadi nje...

Nilishuudia siku moja dada wa watu alichaniwa na nguo wasomi wengine tunadahambi kuliko za shetani:redfaces:
 
nakumbuka nilisharudi mchan natoka kipindi... korido zima vyumba vyote 14 occupied...watu wanakulana viburudisho!!Mola asnte niliponyoka mzima na gamba langu!!!
 
msinikumbushe mimi unatoka chuo umechoka kufika room exile duuuu mi nilikuwa nachukia saana aisee!

Ahhhh!! Mimi kwa kweli tulikuwa tuko mtu 4 na zimetimia kila idara,hakuna kupiga chabo wala kupigwa chabo.....ila kama mtu alitaka kutambua uwepo wetu ndani ya Mabibo hostel basi zisikike kelele za mwizii ! mwizii!! mwizii!!
 
Ebwana eeeeee huwenda siku tukikutana kwenye Party ya JF patakuwa hapatoshi. Kumbe tunajuana bwana.

si ajabu tunajuwana kuna jamaa alikuwa ana ni PM tukakutane kumbe ni ndugu yangu na kila siku tunaongea kwenye simu tukaishia kucheka tu. Tarehe 23 jioni nitakuwa na kina Preta tunaosha gari la kusafiria
 
nakumbuka nilisharudi mchan natoka kipindi... korido zima vyumba vyote 14 occupied...watu wanakulana viburudisho!!Mola asnte niliponyoka mzima na gamba langu!!!

Mkuu Mkeshahoi kukaa kwangu muda mrefu pale FLOWER seminary na mmbunge wangu wa Chadema kulinisaidia kuwa mwoga na kuwa na hofu ya Mungu nikabahatika nikapata msichana nilivyohamia main campus na nikaoa kabisa after masters
 
si ajabu tunajuwana kuna jamaa alikuwa ana ni PM tukakutane kumbe ni ndugu yangu na kila siku tunaongea kwenye simu tukaishia kucheka tu. Tarehe 23 jioni nitakuwa na kina Preta tunaosha gari la kusafiria

Preta siku hizi simuoni oni humu ndani. Naye keshaenda kuhiji nini? Mnasafiri kwenda wapi kama tayar uko Rombo? Au unaelekea moshi mjini?
 
nakumbuka nilisharudi mchan natoka kipindi... korido zima vyumba vyote 14 occupied...watu wanakulana viburudisho!!Mola asnte niliponyoka mzima na gamba langu!!!

Tehe...sasa wikendi ndo usisema.....dhambi mtindo mmoja ndo iliyokuwa asili ya mabibo. Mkuu inawezekana uliponyoka na gamba lako lkn hukuponyoka kwenye makahaba....tehe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…