imani_amani Member Joined Oct 2, 2015 Posts 22 Reaction score 1 Oct 22, 2015 #1 Wadau rejea kichwa cha habari hapo juu..... Mimi nmechaguliwa kujiunga na chuo cha kcmc nkasome bsc prosthetics and orthotics... Kwa walionitangulia hapo naomba ufafanuzi wa kina wa maisha ya pale campus
Wadau rejea kichwa cha habari hapo juu..... Mimi nmechaguliwa kujiunga na chuo cha kcmc nkasome bsc prosthetics and orthotics... Kwa walionitangulia hapo naomba ufafanuzi wa kina wa maisha ya pale campus
Jhaxan JF-Expert Member Joined Oct 11, 2015 Posts 403 Reaction score 191 Oct 22, 2015 #2 Ni magumu kwa ujumla njoo ujionee bora ucngekuja huku utajuter kjn
mark x Member Joined Jun 26, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Oct 22, 2015 #3 magumu mdogo wangu hapa kichwa kinaniuma nikikumbuka tarehe yakufungua..
E empressu Member Joined Jun 25, 2015 Posts 38 Reaction score 1 Oct 22, 2015 #4 mbn tunaanza kuogopa tuliopangwa hapo...
malimingiii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 968 Reaction score 1,343 Oct 22, 2015 #5 Embu nenden shule achen woga. Nani amekuambia kuna chuo maisha marahisi?
imani_amani Member Joined Oct 2, 2015 Posts 22 Reaction score 1 Oct 22, 2015 Thread starter #6 Daaaah ebu huo ugumu muufafanue kidogo manake......
Mbarak Abeid Abdulla Member Joined Sep 4, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Oct 22, 2015 #7 mark x said: magumu mdogo wangu hapa kichwa kinaniuma nikikumbuka tarehe yakufungua.. Click to expand... Magumu kivip mbona sikuelewi
mark x said: magumu mdogo wangu hapa kichwa kinaniuma nikikumbuka tarehe yakufungua.. Click to expand... Magumu kivip mbona sikuelewi
mark x Member Joined Jun 26, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Oct 22, 2015 #8 m nasoma hapo mwaka wa nne kwakifup malaz sio mazuri utastruggle mwaka wa kwanza huo ndio ukwel..
imani_amani Member Joined Oct 2, 2015 Posts 22 Reaction score 1 Oct 22, 2015 Thread starter #9 mark x said: m nasoma hapo mwaka wa nne kwakifup malaz sio mazuri utastruggle mwaka wa kwanza huo ndio ukwel.. Click to expand... Malazi ya hostel au wapi
mark x said: m nasoma hapo mwaka wa nne kwakifup malaz sio mazuri utastruggle mwaka wa kwanza huo ndio ukwel.. Click to expand... Malazi ya hostel au wapi