Maisha siyo mchezo

Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
269
Reaction score
71
Maisha si ya kukurupukia ukayaona madogo kama wachezaji wa ARSENAL,ukataka kuyapata kwa kupendelewa kama MAN U,usitake kuyapata kwa nguvu kama wachezaji wa CHELSEA,usiyatafute kwa kushtukiza kama mashambulizi ya REAL MADRID,usiyatafute kwa kutumia gharama kubwa bila mafanikio kama MAN CITY,maisha ni kutulia kama pasi za BARCELONA na mipango mizuri kama BORUSSIA DORTMUND na kuwa mvumilivu kama LIVERPOOL.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…