Haya sasa Wale wadau wote tunaofuatilia msimu wa Tano wa maisha plus tumwagike hapa kuwachambua washiriki kwa namna wanavyoishi ikiwa na pamoja na umuhimu wa mshiriki mmoja mmoja na sio mbaya tukipendekeza yupi atoke na mi kwa sababu gani.
Nawasilisha...Karibuni wadau