Hongera sana..
Mimi hapo kwenye milioni 100 ukashindwa kuchomoa 10M ukizingatia hauna ajira na huo sio wizi unaamisha baadae ungemwambua mzee angeelewa tu.
Hiyo akili sikuwa nayo kabisa! Kuna wakati nilikuwa nalala na Hadi milioni Tano chini ya mto.... Sikuwahi kufikiria kuwa Kuna maisha baada ya ujenzi!! Na mshua kama asingeingilia kunipa mtaji... Aisee sijui ingekuwaje!
Ndugu yangu mambo yalikuwa mengi Sana! Of course bi mkubwa Kuna eneo alizingua kinoma noma pia mshua Kuna namna alikuwa blinded, hakuona uhalisia wa picha inayoendelea! Na bahati mbaya watu ambao walikuwa karibu naye (ndugu zake) ndio waliokuwa wanaweka petrol kwenye moto! Ila saa hizi kajua mbivu na mbichi!