Maisha ni safari

Mkuu una number yake huyu?[emoji39]
Yes namba yake ninayo, ila shida ni kuwa simu yangu nimeisahau kwake maana niliondoka alfajiri sana na sikulipia huduma kwa hiyo amechukua simu yangu mpaka nitakapo enda kulipa, kwahiyo nitakutumia namba yangu ya backup unitumie tigo pesa laki mbili nikalipie ili nipate simu yangu nikupe namba yake. SAWA NDUGU?
 
Duh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…