Sasa kama wana uwezo mkubwa wa kiteknolojia kuliko sisi wanadamu ni kwa nini wao wasiwe wa kwanza kufika kwenye sayari yetu mpaka sisi tukawagundue wao?

thats true.. umenikumbuaja babylon5.Come on brother hizo video za sci-fi zimejaa kwny mitandao si unakumbuka enzi za BABYLON 5 na star treck kwhy sio kila video unayoiona kwny YouTube ni kweli wenzetu Hollywood wameendelea wanouwezo wa kugeuza igizo kuonekana ni real thing kuhusu Mars project iliyopo ni ya rover robot (curious )aliyetumwa Mars kuchukua picha na data zingine kuhusu maisha ya Mars kwa ujumla and so far imesemekana kunaishara ya kuwepo na maji